Natafuta mume bora kutoka JamiiForums

Natafuta mume bora kutoka JamiiForums

Baada ya miaka mitatu kama bado utakuwa hujafanikiwa kumpata lazima utaongeza na kupunguza vigezo(utatanua goli).Ushauri wangu tanua goli sasa hivi kabla huo muda haujafika maana zaidi unavyosonga mbele market yako pia inapungua...
 
Habari zenu,

Mimi ni binti mwenye miaka 24, natafuta rafiki, mpenzi ambae tutajenga urafiki na kama Mungu akijalia tufunge ndoa.

SIFA ZANGU
1. Mrefu maji ya kunde.
2. Nina mwili kiasi.

ELIMU
Kidato cha sita japokua nilibahatika kwenda chuo ila sikufanikiwa kumaliza kutokana na sababu za kiuchumi.

Dini: Mkristo.

Sifa za mwanaume
Anaependa kusali, kabila lolote, mpambanani, awe ameajiriwa au mfanyabiashara na pia awe na rangi yoyote tu kikubwa upendo na mapenzi ya dhati.

UMRI WA MWANAUME: MIAKA 28 up to 35

Asanteni, nitafurahi Mungu akinipa mume bora kupitia JamiiForums.
ni PM
 
Tuma picha yako my lovely dear wife to be
 
Picha Tafadhali
 
Back
Top Bottom