Kingmairo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 4,936
- 3,542
Safi sana Mama Samweli hebu tuma kwenye kmairo@ymail.com, labda inaweza kuwa mwanzo wa mawasiliano no one knows! Iyo ya akili kumkichwa inabidi nitulie zaidi.tehe tehe sasa kama unataka proof ya kupima kwamba mimi ni mchapa kazi labda nikutumie kwa email copy ya PD(Performance Development) yangu ili uone nilivyoratiwa "A" lakini sasa huo ni utendeji wa ofsini.sasa utendaji mwingine utapimaje???akili kumkichwa!!