Natafuta mume kuanzia 33-45

Dada ulishapata tayari?km bado tuchekiane,
Am nt joking
 
22 vp mkuu?
 
Sasa dada kwani wanaume wa kihaya wana shida gani mbona huwataki.
 
huyu dada atakuwa na sura ya kinyago. 33 hujawa approached, badala yake unaweka tangazo? no serious man will ever heed to your ad; kamtafute kwenye madanguro
 
Na mim natafuta mtoto manye umri wa miak 20 na mim nina 20 tutengeneze maisha
 
Mie nahitaji mke kama upo tayari kwa mazungumzo
 
Hiki kigezo cha urefu kinanikosesha mke kwa mara nyingine tena.
Hivi akiwa mfupi hafikii jamani? Mambo gani haya...
Mwambie utatumia stuli kuifikia papuchi vinginevyo anataka uwe basket baller kwake
 
Ili mradi awe anajitambua tu inatosha
Neno. Unaweza kupata mwenye degree kumbe hajakua badowala hajui maisha ni nini! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kama unakubali kufanya vise verse mimi nichukue hiyo degree wewe uishi ki la saba. Tufanye mazungumzo. Pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…