Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 942
- 897
Kama biashara vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki kigezo cha urefu kinanikosesha mke kwa mara nyingine tena.
Hivi akiwa mfupi hafikii jamani? Mambo gani haya...
Kwa nn tusije moja moja kwakoWatajitokeza tu wengi.
wengine unipunguzie mimi
22 vp mkuu?Nimechoka na upweke.
Natafuta mwanaume aliye serious kabisa kujenga maisha.
Sifa zake;
Mrefu
Awe anajishughulisha na kazi yeyote halali
Asiwe Muhaya
Elimu kuanzia la saba
Sifa zangu;
Mimi ni mwanadada nina degree moja
Naishi Dar
Najielewa na natambua majukumu yangu
Umri 30
Kama yupo yeyote naomba aje inbox
Sasa dada kwani wanaume wa kihaya wana shida gani mbona huwataki.Nimechoka na upweke.
Natafuta mwanaume aliye serious kabisa kujenga maisha.
Sifa zake;
Mrefu
Awe anajishughulisha na kazi yeyote halali
Asiwe Muhaya
Elimu kuanzia la saba
Sifa zangu;
Mimi ni mwanadada nina degree moja
Naishi Dar
Najielewa na natambua majukumu yangu
Umri 30
Kama yupo yeyote naomba aje inbox
Jua la jioni[emoji16]Hahhaa degree vs darasa la saba
HahahahahhahaHiki kigezo cha urefu kinanikosesha mke kwa mara nyingine tena.
Hivi akiwa mfupi hafikii jamani? Mambo gani haya...
Natumai umu jamii forum kunaNa mim natafuta mtoto manye umri wa miak 20 na mim nina 20 tutengeneze maisha
Mwambie utatumia stuli kuifikia papuchi vinginevyo anataka uwe basket baller kwakeHiki kigezo cha urefu kinanikosesha mke kwa mara nyingine tena.
Hivi akiwa mfupi hafikii jamani? Mambo gani haya...
Neno. Unaweza kupata mwenye degree kumbe hajakua badowala hajui maisha ni nini! 😀😀😀Ili mradi awe anajitambua tu inatosha