Natafuta mume kuanzia 33-45

Natafuta mume kuanzia 33-45

Mi nahitaji mke wa pili. Nakidhi vigezo vyako. Tuonane inbox plz
 
Nimechoka na upweke
Natafuta mwanaume aliye serious kbs kujenga maisha
Mrefu
Awe anajishughulisha na kazi yyte halali
Asiwe muhaya
Elimu kuanzia la saba



Mimi ni mwnadad nna degree moja
Naishi dar
Najielewa na natambua majukumu yngu
Umri 30
Kama yupo yyte Naomba aje inbox
Hivi unaolewa na mwanaume au kabla la Wahaya,acha utoto ww n mtu mzma now.
 
Hiki kigezo cha urefu kinanikosesha mke kwa mara nyingine tena.
Hivi akiwa mfupi hafikii jamani? Mambo gani haya...
Nani anataka mambo ya kuongozana mnaonekana km nusu na robo
 
Natamani sana kuwa na mke msomi coz najua watoto wangu lazma watakuwa wasomi pia! Coz mama yao atajua/anajua umuhimu wa Elimu shida inakuja niliishia form three ila ni kama form 4 coz nilikuwa najiweza kwa vile sina vyeti basi mimi la saba aliyeelimika tatizo kuoa mke msomi kunahitaji Uvumilivu/Ukomavu ktk mahusiano siyo unakurupuka tu! Kisa umesikia ana kadegree basi unajua umepata mteremko wa kitonga, pamoja na degree yake mwanaume unatakiwa uvae uhalisia wa uanaume wako ktk family
 
Wanaume hao wamesha oa. Ulikuwa wapi kipindi una miaka 20 - 25
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Nimechoka na upweke.
Natafuta mwanaume aliye serious kabisa kujenga maisha.

Sifa zake;
Mrefu
Awe anajishughulisha na kazi yeyote halali
Asiwe Muhaya
Elimu kuanzia la saba

Sifa zangu;
Mimi ni mwanadada nina degree moja
Naishi Dar
Najielewa na natambua majukumu yangu
Umri 30
Kama yupo yeyote naomba aje inbox
Ivi wahaya wakoje mbona wadada hawataki.
 
Nimechoka na upweke.
Natafuta mwanaume aliye serious kabisa kujenga maisha.

Sifa zake;
Mrefu
Awe anajishughulisha na kazi yeyote halali
Asiwe Muhaya
Elimu kuanzia la saba

Sifa zangu;
Mimi ni mwanadada nina degree moja
Naishi Dar
Najielewa na natambua majukumu yangu
Umri 30
Kama yupo yeyote naomba aje inbox
Warefu wamekwisha, [emoji12]
 
basi ngoja nipambnee ila umri huoo dada zetu mnatukatisha tamaa sasa si unataka mume wa mtu unaonaje ukatafuta wako kabisa mkaanza kutafuta wote mkaijenga nyumba yenu sasa 45-33 na vijana wa siku hizi wanavyo oa mapema sijui unachokitafuta kwakweli ilaa jaribuni kushusha umri
 
Back
Top Bottom