Natafuta mume Mbena au Muhehe

Natafuta mume Mbena au Muhehe

Kama utanihakikishia kaburi la baba wa Huyo mtoto, mm mbena wa miaka 35+ nipo tayari.
 
Habari za majukumu wadau. Kama mada inavyojieleza naamini mwanaume anapatikana sehemu yoyote ile. Hitaji langu kubwa ni hilo.Mme wa mtu hapana.

Sifa zangu.
Umri :36
Nina mtoto mmoja wa miaka 5
Kazi :Nimeajiliwa serikalini
Kabila :Mbena


Sifa za Mwanaume
Umri 36:45
Awe Mbena au Muhehe
Ngweliwe wisa umu mwanababa kuno kumitandao ndisuka upiluke hukaye kwi iringa au hunjombe kina wipata ava baba vanofu vya kukutola twatwilava imigo na tabia chako . Upulike
 
Hivi sisi wa miaka 55 mbona hatutafutwi,naona kila bandiko wanaume wanaotafutwa miaka inaishia 45,kulikoni mbona tuko vizuri tu jamani...?
 
Kamwene Mnyalukolo!! Mimi ni Mwamuyinga wa Kalenga. Karibu tuyamalizie haya maisha hapa duniani. Hakika hakuna wanawake bora hapa duniani kuwazidi Wahehe/Wabena.

Mwe!!!
 
Tabia ya kumpangia Mungu ume ipata wapi? Embu acha mipangio ya Mungu itimie
 
Mie nashangaa sana kuona 2020 bado kuna Watanzania wanatumia ubaguzi wa kikabila kutafuta mume/mke

Kuna mwagito mmoja alikuwa anatafuta mke sijui akipata. Ila najiuliza umeona nini kwa hayo makabila
 
Hivyo eh! Lakini unawaondoa candidates ambao labda wangekuwa bora zaidi kuliko huyo wa kabila moja
Hilo ni kweli, angeweka general tu kama atakutana na hayo makabila awape kipaumbele
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ndajile bee nano pe umuri ugo yune ndihele
 
Kama utanihakikishia kaburi la baba wa Huyo mtoto, mm mbena wa miaka 35+ nipo tayari.
hah hah ah wanaume wa jf hamuishi vituko! sa makaburi yalivyo mengi hivi kweli likosekane la kukuonyesha
 
Back
Top Bottom