Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Bwana yupi huyo?Bwana atanifanyia wepesi nikupate mrembo..[emoji6]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana yupi huyo?Bwana atanifanyia wepesi nikupate mrembo..[emoji6]
Wa mbinguni.. kwani vipi..?Bwana yupi huyo?
Ngweliwe wisa umu mwanababa kuno kumitandao ndisuka upiluke hukaye kwi iringa au hunjombe kina wipata ava baba vanofu vya kukutola twatwilava imigo na tabia chako . UpulikeHabari za majukumu wadau. Kama mada inavyojieleza naamini mwanaume anapatikana sehemu yoyote ile. Hitaji langu kubwa ni hilo.Mme wa mtu hapana.
Sifa zangu.
Umri :36
Nina mtoto mmoja wa miaka 5
Kazi :Nimeajiliwa serikalini
Kabila :Mbena
Sifa za Mwanaume
Umri 36:45
Awe Mbena au Muhehe
Wee acha ujinga wabena kwa mfano hatuna hizo tabia na hata wenzetu waheheKila la heri, nenda ukale majungu na unafiki na viburi.
SawaWa mbinguni.. kwani vipi..?
Kuna mwagito mmoja alikuwa anatafuta mke sijui akipata. Ila najiuliza umeona nini kwa hayo makabila
Hilo ni kweli, angeweka general tu kama atakutana na hayo makabila awape kipaumbeleHivyo eh! Lakini unawaondoa candidates ambao labda wangekuwa bora zaidi kuliko huyo wa kabila moja
Hilo ni kweli, angeweka general tu kama atakutana na hayo makabila awape kipaumbele
hah hah ah wanaume wa jf hamuishi vituko! sa makaburi yalivyo mengi hivi kweli likosekane la kukuonyeshaKama utanihakikishia kaburi la baba wa Huyo mtoto, mm mbena wa miaka 35+ nipo tayari.