Natafuta mume mcha Mungu

Kwa ugumu huu wa maisha wapo kweli wasio na hasira,labda wahindi....
 
Asante Dada kwa ushauri wako
 
Miaka 24 unasaka wanaume mitandaoni? 😳😳😳
Tulia kijana, siku hizi dunia imebadilika..wanaume tumegeuka almasi, tunatafutwa...neno la Isaya lazima litimie...soma 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
Isaya 4:1
 
masharti mengi wanawake sampuli yk mnamasharti hadi kwenye utoa uroda..!
 
Kwa kweli ni mdogo, sijui hio pressure kaitoa wapi? Au kaona wenzie wakiolewa?
Anita Makirita ndg yangu jana hujasoma kuwa kuna mwanafunzi huko kusini ana 12 tu kawekwa ndani na mwanaume anapokea posho za kiume na haumii?

Ikiwa binti anaanza kupelekewa moto at the age of 12yrs, akiwa 24 si tayari ni mzee?

Uume unazeesha ukianza kuuchezea maprma kwa mabinti, so 24yrs hapo yawezekana kapita sana...sina hakika.

Na siku hizi mnisamehe lkn mabinti wakiona mtaani kumechacha...wanakimbilia kanisani, wanataka nume mwenye hofu ya Mungu...halllooo, Mungu anafanywa kama ccm, hii haiko sawa
 
Sijakataa Huyu dada kuolewa na umri wake, Ila kutafuta mtandaoni ni dalili ya kuwa desperate na desperation ni kwa mashangazi na watu tayari labda wameumizwa…wazoefu wa mahusiano, Kwangju mimi miaka 24 anapata mchumba vizuri tu mtaani ….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…