Natafuta mume mcha Mungu

Angelegeza masharti tungeona namna yakusaidiana tu, binti mdogo kabisa huyu 24yrs na ana digrii, probably kamaliza chuo mwaka jana, kaona yule boyfriend wa chuo haeleweki.
Wa vyuoni kwa kawaida huwa con men. They "marry" and f*ck these innocent girls for free for 3yrs+ then dump them like used toilet papers matokeo yake ndo haya. Mabinti wadogo 24yrs wanahaha mitandaoni kutafuta waume kisa tu mioyo ina maumivu. Very unfair!

Miaka 24 ni umri wa kutulia na kujitathmini pamoja na kujiwekea malengo. Angekuwa late 30s huko ningemwelewa lakini 24 jamani!
 
[emoji57][emoji57]
 
Sijakataa Huyu dada kuolewa na umri wake, Ila kutafuta mtandaoni ni dalili ya kuwa desperate na desperation ni kwa mashangazi na watu tayari labda wameumizwa…wazoefu wa mahusiano, Kwangju mimi miaka 24 anapata mchumba vizuri tu mtaani ….
Nakuelewa Anita but unaweza kuona umri wa 24 ni mdogo lkn kumbuka huo mchanganuo wangu hapo juu.

Mabinti waliowahi ngono mapema, umri wa miaka 22 na kuendelea, tayari wamefikia rekodi ya mashangazi, tayari mtaani cv zao zinaeleweka na mihuri mingi imegongwa, hivyo mahali pekee pa kuponea ni mitandaoni.
 
Miaka24 unakuta ni shangazi kuliko Hata sie mashangazi,πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nimekuelewa mkuu.
 
mimi sifa zote ninazo Lakini hapo kwenye Bangi imenikata πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…