Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Anataka wakwake, aumiliki mwenyeweKwa kweli ni mdogo, sijui hio pressure kaitoa wapi? Au kaona wenzie wakiolewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka wakwake, aumiliki mwenyeweKwa kweli ni mdogo, sijui hio pressure kaitoa wapi? Au kaona wenzie wakiolewa?
Wa vyuoni kwa kawaida huwa con men. They "marry" and f*ck these innocent girls for free for 3yrs+ then dump them like used toilet papers matokeo yake ndo haya. Mabinti wadogo 24yrs wanahaha mitandaoni kutafuta waume kisa tu mioyo ina maumivu. Very unfair!Angelegeza masharti tungeona namna yakusaidiana tu, binti mdogo kabisa huyu 24yrs na ana digrii, probably kamaliza chuo mwaka jana, kaona yule boyfriend wa chuo haeleweki.
[emoji57][emoji57]Tulia kijana, siku hizi dunia imebadilika..wanaume tumegeuka almasi, tunatafutwa...neno la Isaya lazima litimie...soma [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
Isaya 4:1
Nakuelewa Anita but unaweza kuona umri wa 24 ni mdogo lkn kumbuka huo mchanganuo wangu hapo juu.Sijakataa Huyu dada kuolewa na umri wake, Ila kutafuta mtandaoni ni dalili ya kuwa desperate na desperation ni kwa mashangazi na watu tayari labda wameumizwa…wazoefu wa mahusiano, Kwangju mimi miaka 24 anapata mchumba vizuri tu mtaani ….
Miaka24 unakuta ni shangazi kuliko Hata sie mashangazi,😅😅😅 nimekuelewa mkuu.Nakuelewa Anita but unaweza kuona umri wa 24 ni mdogo lkn kumbuka huo mchanganuo wangu hapo juu.
Mabinti waliwahi ngino mapema, umri wa miaka 22 na kuendelea, tayari wamefikia rekodi ya mashangazi, tayari mtaani cv zao zinaeleweka na mihuri mingi imegongwa, hivyo mahali pekee pa kuponea ni mitandaoni.
usabato huo niutoleee wapi jamaniIla Behind the keyboard
mzabzab Ni msabato Safi Sana
Mambo ya kitimoto na nyama zenu za ajabu ajabu hatumii kabisa [emoji4]
Wapo wanaojitambua Kama ilivyo kwa wanawake piaMume mcha Mungu atoke wapi? Labda wanaoigiza wamcha Mungu hao ndo wengi mno
Hata mimi sio mchamungu!!?Mume mcha Mungu atoke wapi? Labda wanaoigiza wamcha Mungu hao ndo wengi mno
wacha kumsagia mwenzio kunguni wewe😝😝😝😝😝Mume mcha Mungu atoke wapi? Labda wanaoigiza wamcha Mungu hao ndo wengi mno
🤣🤣🤣🤣 JamanHata mimi sio mchamungu!!?
Sio kwa kunizodoa huko!!
Lazima nikufanyie kitu kama kumbu kumbu kivyovyote vile!!mengine majaaliwa!!🤣🤣🤣🤣 Jaman
🥰Lazima nikufanyie kitu kama kumbu kumbu kivyovyote vile!!mengine majaaliwa!!