Natafuta mume mcha Mungu

mke nataka sana illa nilishampata Aaliyyah sema nae ndio hivyo anajivuta kuchangia mifuko ya cement tumalizie gheto tuhamie.
naona yule ex wake atakuwa bado anamsumbua akili
😀😀Kwaiyo had nichangie mifuko ya cement iyo itakuwa ndoa au kikundi Cha vikoba 😂😂
 
😀😀Kwaiyo had nichangie mifuko ya cement iyo itakuwa ndoa au kikundi Cha vikoba 😂😂
wewe changia sasa sii maendeleo yetu wenye bby mbona unakuwa mgumu hivyo sasa na hela yako. kweli siku naumwa wewe sii unaweza sema hutaki kutoa hela ya matibabu hahaha.
nkoo wee toa hela ya mifuko 20 ya cement matofali nilishanunua yapo site
 
Nipo hapa dodoma sifa zote zipo sema posho sina
 


nakushauri uende kule wenye sifa hizo waliko. Mfano, jitaihid kuhudhuria ibada na makambi ya kisabato. Jitahidi uwe unasali na unaenda kanisani ni muda sasa
 
Hallelujah [emoji119]

Ubarikiwe Dada.
Hii comment ni funzo kwa mabinti wengi tuliopo hapa ndani.

Ni kuomba Mungu atupe lililo fungu alilotupangia.
 
kwa jinsi ulivyo msabato mshika dini ni lazima utakua yule dem ambae hasuki ananyoa nywele anapunguza huku pemben hapa juu anaziacha
alaf anavaa nguo za kitenge
 
Umri ulio nao ni sahihi kabisa umebakisha miaka 5 na miezi kadhaa kugonga 30 mrembo jitahidi sana kuwa flexible kwenye vigezo. Urembo unaenda na kuisha

Kwenye hiyo miaka 5 uliyobakisha kabla ya kufika 30 kuna mahusiano ambayo mnaweza kwenda mwaka 1 mkashindwana.

Kwa hiyo njia haiko straight wengine wanataka tu kusuuza rungu na kusepa kumbuka umri haukusubiri

Ushauri wangu kwa akina dada wanaotafuta wenzi; Ukipata mwanamume anajielewa anaingiza kipato yuko siriaz nawe fanya naye maisha bila hivyo utachina kitaa

Kila la kheri
 
Hello naomba tuyajenge
 
Hapo kwenye rangi ya ngozi na usabato ndio pamenichania mkeka
 
Dah. Maelezo kama unaongea na chief cooker akupatie mashed potatoes with fish fillet scambled vegetables. Ije na watermelon juice garnished by orange.

Nakushauri usitafute mpenzi au mume au hata rafiki kupitia mitandao ya kijamii.

Onana na watu wajue vizuri. Pia usianike vigezo vyako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…