Natafuta mume mcha Mungu

Natafuta mume mcha Mungu

Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu, awe na sifa zifwatazo:
Asiwe mwenye kutumia bangi, sigara au kilevi chochote.
Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea
Awe msomi angalau kuanzia Diploma
Awe maji ya kunde au mweusi
Awe na chanzo halali cha kujipatia fedha
Awe na umri kwanzia 27 mpaka 34
Asiwe na mtoto
Asiwe mnene sana au mwembamba sana
Awe mwadventista msabato.
Kabila lolote lile sawa, kikubwa pia awe mwenye upendo wa dhati na awe mpole.

Sifa zangu:
Nina miaka 24, nipo Dar, elimu yangu ni Bachelor Degree, nimeajiriwa Serikalini kwa sasa, mwonekano wangu nina urefu wa 5.5ft mwili wa kawaida, mweupe kwa rangi.

Note
Kama hukidhi vigezo please usije DM
Duuuh
 
Kaa hapahapa jukwaani kuna mwenzako sijui anaitwa Revocatus anakusubiri 🏃🏃🏃
 
Vigezo ninavyo ila nataka nionje radha ya chumvi.

0659 unatoa?
 
Back
Top Bottom