makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Aha.. happ ahsante to yeye.Kuwa mume mwema Kwa mkeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aha.. happ ahsante to yeye.Kuwa mume mwema Kwa mkeo
Wanatafuta elimu badala ya ndoa wanacho htaji sio ndoa Bali kitu kutoka kwa muoaji ndio maana ndoa nying hazidumuUmri sahihi huo. Akichelewa hapo baadae hamkawii kusema alivyokuwa binti alikuwa anaringa kuolewa.
Kama hutojali nkuje inbox vigezo tutajuana hukohukoKama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu, awe na sifa zifwatazo:
Asiwe mwenye kutumia bangi, sigara au kilevi chochote.
Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea
Awe msomi angalau kuanzia Diploma
Awe maji ya kunde au mweusi
Awe na chanzo halali cha kujipatia fedha
Awe na umri kwanzia 27 mpaka 34
Asiwe na mtoto
Asiwe mnene sana au mwembamba sana
Awe mwadventista msabato.
Kabila lolote lile sawa, kikubwa pia awe mwenye upendo wa dhati na awe mpole.
Sifa zangu:
Nina miaka 24, nipo Dar, elimu yangu ni Bachelor Degree, nimeajiriwa Serikalini kwa sasa, mwonekano wangu nina urefu wa 5.5ft mwili wa kawaida, mweupe kwa rangi.
Note
Kama hukidhi vigezo please usije DM
Asipo kuelewa ataelewa siku akiwa kaburiniAll the best dear.Ila nakushauri tu ,mwombe Mungu akupe ubavu wako ,unaweza kupata huyo uliyeweka sifa zake hapo akawa "kizunguzungu" chako.Nilikuwa kama wewe natafuta rafiki/mume kwa vigezo lukuki baadaye nikajiuliza mimi ninavyo wanavyotaka watu ? au na mimi najichora tu.Mwishoni nikasema Mungu nisaidie nipate mtu /ubavu wangu.Kweli Mungu alinijibu akanipa mwanaume siwei kumwelezea japo kwa wakati huo hakuwa na sifa zote nilizokuwa nazo kichwani nyingine nilizitengeneza /tulizitengeneza pamoja na hata nikiambiwa nimchangue tena na tena nitamchagua yeye tu .Ushauri wangu tu based on my own experience.
Kah,Kamchukue baba yako
Nahisi bado hujawa tayari ya kutafuta mume atakaekusitiri. Nadhani Unatafuta bwana wa kusongesha maishaKama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu, awe na sifa zifwatazo:
Asiwe mwenye kutumia bangi, sigara au kilevi chochote.
Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea
Awe msomi angalau kuanzia Diploma
Awe maji ya kunde au mweusi
Awe na chanzo halali cha kujipatia fedha
Awe na umri kwanzia 27 mpaka 34
Asiwe na mtoto
Asiwe mnene sana au mwembamba sana
Awe mwadventista msabato.
Kabila lolote lile sawa, kikubwa pia awe mwenye upendo wa dhati na awe mpole.
Sifa zangu:
Nina miaka 24, nipo Dar, elimu yangu ni Bachelor Degree, nimeajiriwa Serikalini kwa sasa, mwonekano wangu nina urefu wa 5.5ft mwili wa kawaida, mweupe kwa rangi.
Note
Kama hukidhi vigezo please usije DM
We ni dini ganiKama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu, awe na sifa zifwatazo:
Asiwe mwenye kutumia bangi, sigara au kilevi chochote.
Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea
Awe msomi angalau kuanzia Diploma
Awe maji ya kunde au mweusi
Awe na chanzo halali cha kujipatia fedha
Awe na umri kwanzia 27 mpaka 34
Asiwe na mtoto
Asiwe mnene sana au mwembamba sana
Awe mwadventista msabato.
Kabila lolote lile sawa, kikubwa pia awe mwenye upendo wa dhati na awe mpole.
Sifa zangu:
Nina miaka 24, nipo Dar, elimu yangu ni Bachelor Degree, nimeajiriwa Serikalini kwa sasa, mwonekano wangu nina urefu wa 5.5ft mwili wa kawaida, mweupe kwa rangi.
Note
Kama hukidhi vigezo please usije DM
Wacha Mungu wapo omba dua kwa mola wakoKama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu, awe na sifa zifwatazo:
Asiwe mwenye kutumia bangi, sigara au kilevi chochote.
Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea
Awe msomi angalau kuanzia Diploma
Awe maji ya kunde au mweusi
Awe na chanzo halali cha kujipatia fedha
Awe na umri kwanzia 27 mpaka 34
Asiwe na mtoto
Asiwe mnene sana au mwembamba sana
Awe mwadventista msabato.
Kabila lolote lile sawa, kikubwa pia awe mwenye upendo wa dhati na awe mpole.
Sifa zangu:
Nina miaka 24, nipo Dar, elimu yangu ni Bachelor Degree, nimeajiriwa Serikalini kwa sasa, mwonekano wangu nina urefu wa 5.5ft mwili wa kawaida, mweupe kwa rangi.
Note
Kama hukidhi vigezo please usije DM
Be God and create your own preference.Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu, awe na sifa zifwatazo:
Asiwe mwenye kutumia bangi, sigara au kilevi chochote.
Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea
Awe msomi angalau kuanzia Diploma
Awe maji ya kunde au mweusi
Awe na chanzo halali cha kujipatia fedha
Awe na umri kwanzia 27 mpaka 34
Asiwe na mtoto
Asiwe mnene sana au mwembamba sana
Awe mwadventista msabato.
Kabila lolote lile sawa, kikubwa pia awe mwenye upendo wa dhati na awe mpole.
Sifa zangu:
Nina miaka 24, nipo Dar, elimu yangu ni Bachelor Degree, nimeajiriwa Serikalini kwa sasa, mwonekano wangu nina urefu wa 5.5ft mwili wa kawaida, mweupe kwa rangi.
Note
Kama hukidhi vigezo please usije DM
Hana shida na mume huyu umkimfuatilia kwa makini[emoji3][emoji3][emoji3]Mume mcha Mungu atoke wapi? Labda wanaoigiza wamcha Mungu hao ndo wengi mno
😂😂😂ivi ee?Hana shida na mume huyu umkimfuatilia kwa makini[emoji3][emoji3][emoji3]
Mwanamke akishaajiriwa anapoteza unyenyekevu kabisa. Kwa maelezo hayo mtu anaelewa Wewe Ni wa Aina ganiKama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu, awe na sifa zifwatazo: