Natafuta mume mcha Mungu

Natafuta mume mcha Mungu

Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu, awe na sifa zifwatazo:
Asiwe mwenye kutumia bangi, sigara au kilevi chochote.
Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea
Awe msomi angalau kuanzia Diploma
Awe maji ya kunde au mweusi
Awe na chanzo halali cha kujipatia fedha
Awe na umri kwanzia 27 mpaka 34
Asiwe na mtoto
Asiwe mnene sana au mwembamba sana
Awe mwadventista msabato.
Kabila lolote lile sawa, kikubwa pia awe mwenye upendo wa dhati na awe mpole.

Sifa zangu:
Nina miaka 24, nipo Dar, elimu yangu ni Bachelor Degree, nimeajiriwa Serikalini kwa sasa, mwonekano wangu nina urefu wa 5.5ft mwili wa kawaida, mweupe kwa rangi.

Note
Kama hukidhi vigezo please usije DM
Kama hutojali nkuje inbox vigezo tutajuana hukohuko
 
Mu adventista unakwama wapi, unashindwa kumuomba yesu anibadilishe niache bangi na pombe then upate mume bora?? Maana vigezo vyote unavyohitaji ninavyo isipokuwa kwenye utumiaji wa vilevi.
 
Ukiwa tayari nicheki nikuunge na ndugu angu..
Yeye umri: 50
Elimu : Mwalimu
Dini :Muslim..
Ukiwa serious lakini.
 
All the best dear.Ila nakushauri tu ,mwombe Mungu akupe ubavu wako ,unaweza kupata huyo uliyeweka sifa zake hapo akawa "kizunguzungu" chako.Nilikuwa kama wewe natafuta rafiki/mume kwa vigezo lukuki baadaye nikajiuliza mimi ninavyo wanavyotaka watu ? au na mimi najichora tu.Mwishoni nikasema Mungu nisaidie nipate mtu /ubavu wangu.Kweli Mungu alinijibu akanipa mwanaume siwei kumwelezea japo kwa wakati huo hakuwa na sifa zote nilizokuwa nazo kichwani nyingine nilizitengeneza /tulizitengeneza pamoja na hata nikiambiwa nimchangue tena na tena nitamchagua yeye tu .Ushauri wangu tu based on my own experience.
Asipo kuelewa ataelewa siku akiwa kaburini
 
Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu, awe na sifa zifwatazo:
Asiwe mwenye kutumia bangi, sigara au kilevi chochote.
Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea
Awe msomi angalau kuanzia Diploma
Awe maji ya kunde au mweusi
Awe na chanzo halali cha kujipatia fedha
Awe na umri kwanzia 27 mpaka 34
Asiwe na mtoto
Asiwe mnene sana au mwembamba sana
Awe mwadventista msabato.
Kabila lolote lile sawa, kikubwa pia awe mwenye upendo wa dhati na awe mpole.

Sifa zangu:
Nina miaka 24, nipo Dar, elimu yangu ni Bachelor Degree, nimeajiriwa Serikalini kwa sasa, mwonekano wangu nina urefu wa 5.5ft mwili wa kawaida, mweupe kwa rangi.

Note
Kama hukidhi vigezo please usije DM
Nahisi bado hujawa tayari ya kutafuta mume atakaekusitiri. Nadhani Unatafuta bwana wa kusongesha maisha
 
WWw
Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu, awe na sifa zifwatazo:
Asiwe mwenye kutumia bangi, sigara au kilevi chochote.
Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea
Awe msomi angalau kuanzia Diploma
Awe maji ya kunde au mweusi
Awe na chanzo halali cha kujipatia fedha
Awe na umri kwanzia 27 mpaka 34
Asiwe na mtoto
Asiwe mnene sana au mwembamba sana
Awe mwadventista msabato.
Kabila lolote lile sawa, kikubwa pia awe mwenye upendo wa dhati na awe mpole.

Sifa zangu:
Nina miaka 24, nipo Dar, elimu yangu ni Bachelor Degree, nimeajiriwa Serikalini kwa sasa, mwonekano wangu nina urefu wa 5.5ft mwili wa kawaida, mweupe kwa rangi.

Note
Kama hukidhi vigezo please usije DM
We ni dini gani
 
Wacha Mungu wapo omba dua kwa mola wako
 
Inaonekana hata na ww huna hizo sifa, maana unatafuta mtu uyo kwenye sehemu isiyo sahihi, nenda kanisani au msikitini.
 
Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu, awe na sifa zifwatazo:
Asiwe mwenye kutumia bangi, sigara au kilevi chochote.
Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea
Awe msomi angalau kuanzia Diploma
Awe maji ya kunde au mweusi
Awe na chanzo halali cha kujipatia fedha
Awe na umri kwanzia 27 mpaka 34
Asiwe na mtoto
Asiwe mnene sana au mwembamba sana
Awe mwadventista msabato.
Kabila lolote lile sawa, kikubwa pia awe mwenye upendo wa dhati na awe mpole.

Sifa zangu:
Nina miaka 24, nipo Dar, elimu yangu ni Bachelor Degree, nimeajiriwa Serikalini kwa sasa, mwonekano wangu nina urefu wa 5.5ft mwili wa kawaida, mweupe kwa rangi.

Note
Kama hukidhi vigezo please usije DM
Be God and create your own preference.
 
Mume mwema mcha Mungu nipo hapa hivyo vigezo vingine vyote naona na fit kabisa fanya tuwasiliane.
 
Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu, awe na sifa zifwatazo:
Asiwe mwenye kutumia bangi, sigara au kilevi chochote.
Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea
Awe msomi angalau kuanzia Diploma
Awe maji ya kunde au mweusi
Awe na chanzo halali cha kujipatia fedha
Awe na umri kwanzia 27 mpaka 34
Asiwe na mtoto
Asiwe mnene sana au mwembamba sana
Awe mwadventista msabato.
Kabila lolote lile sawa, kikubwa pia awe mwenye upendo wa dhati na awe mpole.

Sifa zangu:
Nina miaka 24, nipo Dar, elimu yangu ni Bachelor Degree, nimeajiriwa Serikalini kwa sasa, mwonekano wangu nina urefu wa 5.5ft mwili wa kawaida, mweupe kwa rangi.

Note
Kama hukidhi vigezo please usije DM
Mwanamke akishaajiriwa anapoteza unyenyekevu kabisa. Kwa maelezo hayo mtu anaelewa Wewe Ni wa Aina gani
 
Huyo tayari unaye kwenye " imagination yako" unamtafutaje Tena huku nje?...Just create your reality
 
Back
Top Bottom