Natafuta mume Mkristu

Unazingua nasikia nyie ndo mnafyonza Mali za watu hafu mna wa kill ili mbaki na Mali .
Karibu Pm .Mimi sina kazi Nina miaka 28 kama wewe karibu tuyajenge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa siyo, ila tatizo lao ni wabinafsi sana na wanajiskia Kama wale wa kule kwenye tetemeko,
Ukiishi na hawa ukubali chako cha wote na chake ni chake na familia yake hapo mtaelewana.
 
umri umesonga sana. jitahidi kupunguza vigezo before it is too late
Kigezo kingekuwa mwanamume yeyote aliye tayari
 
njoo pm
 
mimi sifa zipo ila niko dom na kingine nakunywa bia. ila ila tukikosa mtoto ndani ya miaka 2 kwa heriii
 
Mume mwema HUOMBWA hutoka kwa Mungu na sio mtandaoni. Hayo ulioyaandika kwetu mwandikie Mungu na uyaandike pia kwenye kibao cha moyo wako ili akitokea candidate nje ya "qualifications ulizoziweka" mwambie Mungu sio huyu... Usicheze mbali na AHADI za Mungu...kutupa nyavu mtandaoni utatoka na KOKORO...Kila la heri na endelea kujitunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…