welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
Hawa siyo, ila tatizo lao ni wabinafsi sana na wanajiskia Kama wale wa kule kwenye tetemeko,Unazingua nasikia nyie ndo mnafyonza Mali za watu hafu mna wa kill ili mbaki na Mali .
Karibu Pm .Mimi sina kazi Nina miaka 28 kama wewe karibu tuyajenge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiishi na hawa ukubali chako cha wote na chake ni chake na familia yake hapo mtaelewana.