Natafuta mume Mkristu

Natafuta mume Mkristu

Sifa zote ninazo. (Nilichopungukiwa ni kwamba Sijaokoka tu). Pia nipo mbali na Dar, wanasemaga fimbo ya mbali haiui njoka.
 
Huu sasa ni ubaguzi wa dini nyingine kwanini hatua nafasi wakati watz sisi wote ni wamoja?
 
Back
Top Bottom