Natafuta mume mtu mzima

Maria92

Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
60
Reaction score
107
Habari wakuu
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24.
Elimu yangu ni chuo kikuu
Natafuta mpenzi ambaye atakuja kuwa mume mwenye umri wa miaka 50-60
Nimechoka kuumizwa na vijana wadogo
Kikubwa awe hana mke (walioachwa, waliofiwa mke au ambaye hajawai kuoa)
Kama una vigezo hapo juu karibu pm
 
Sasa wewe mbona mdogo hivyo, hao Wababa nao si wataogopa kupelekeshwa ki ujanaujana.
 
Upo kistrategy sana binti maana kwa umri huo kama ukimpata umekula bingo utapata malipo yake ya pensheni plus mirathi maana hatakuwa na miaka mingi mbele lazima arudi mavumbini halafu utarudi Kutafuta wa umri wako sasa baada ya kumaliza eda
 
Upo kistrategy sana binti maana kwa umri huo kama ukimpata umekula bingo utapata malipo yake ya pensheni plus mirathi maana hatakuwa na miaka mingi mbele lazima arudi mavumbini halafu utarudi Kunitafuta wa umri wako sasa baada ya kumaliza eda
Sina maana hiyo ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…