Natafuta mume mwema!

Natafuta mume mwema!

Lissa...mie niko kitaa tu yaani mishen town...elimu la saba ila sikufanya pepa...ni mlevi wa konyagi kupindukia...sigara ndo balaa...nina upendo hadi unamwagiga...dushelele langu nchi 9 nene nene hivi...mrefu na mcheshi sana kumbuka hadi nina dimpoz bibie...Ila ukiniuzi napiga vibaya sana...nishampiga wife hadi nikalala lupango siku 2 kisa kachelewa kurudi hom.

NiPM please as I can see we match each other...dadadeeeekii
 
mie ni msichana mwenye umri wa miaka 28,nimeajiriwa serikalini,natafuta mchumba ambaye tunaweza funga pingu za maisha,umri awe na miaka 29-35,awe mkristo rc,elimu degree na kuendelea,mwenye vigezo anipm,nipo serious pls

Nina miaka 28.....vigezo vingine ni poa...cta qualify bibie???If its ok send a pm to me.
 
mie ni msichana mwenye umri wa miaka 28,nimeajiriwa serikalini,natafuta mchumba ambaye tunaweza funga pingu za maisha,umri awe na miaka 29-35,awe mkristo rc,elimu degree na kuendelea,mwenye vigezo anipm,nipo serious pls
Mm naqualify yote but umri wangu ni 37 km unakubari hiyo ni pm.
 
mie ni msichana mwenye umri wa miaka 28,nimeajiriwa serikalini,natafuta mchumba ambaye tunaweza funga pingu za maisha,umri awe na miaka 29-35,awe mkristo rc,elimu degree na kuendelea,mwenye vigezo anipm,nipo serious pls
vp ushapata mume
 
duuu nimekosa mke hivi hivi kabisa,sifa zote ninazo mpaka za ziada,elimu mama niliishia darasa la kwanza bi
 
Mnapenda degree utadhan ndo zinawaoa, Hayaa watakuja ila ataishia tu kubandua
 
proposal yako ingevutia zaidi kama ungeishia hapo kwenye 35
 
Back
Top Bottom