Natafuta mume mwenye umri kati ya miaka 33-36

Natafuta mume mwenye umri kati ya miaka 33-36

Habari wanajamvi,

Mimi ni mwanamke wa miaka 33, niko Arusha, Mkristo Mcha Mungu.

Natafuta mume miaka 33 hata 36, awe Mkristo Mcha Mungu.

Kujuana zaidi njoo PM.
kila la kheri , ngoja waje. Ila miaka 33 kwa mwanamke ulitakiwa uweke angalau mwanaume wa kuanzia miaka 35 - 45 hapo ungepata wengi wa maana tu. Na kwa sababu na ww umri umesogea maana miaka 33 kwa mwanamke ni mingi sana ungeondoa kigezo cha dini pia maana unaweza ukakosa kabisa wa dini unayotaka wewe.
 
Samahani Mkuu.

Upo serious kweli au unaleta utani?

Maana nimechoka kuwa single.
 
Hahahahaha!
Awe na kazi nzuri, nyumba nzuri, gari nzuri, hela nzuri, anayejua to care vizuri, anayenipenda kwa dhati. .........

Blah blah blah sitaki kusikia
Hahahaaaa et hela mzuri
 
Hutaki six pack na muhogo mkubwa kabisa wa Jang'ombe????
 
Natumai hivyo vigezo ndo vimekufanya ukifikie umri huo hujaolewa.....jifunze.....nakushauri achana na vigezo sema mwanaumme aliyetayari basi....ukiendelea kukomalia hvyo vigezo vyako utaongozea 33 nyingne kwa mzazi
 
Back
Top Bottom