Kipi hichoUlikuwa umenipata kabisa ila nimekosa kigezo chako kikuu kimoja.
Mungu ni mwema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekupa hao wadudu kakumbia..???Habari wana JF
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26. Ninaishi na HIV.
Ni mfupi wa wastani, sio mweupe wala mweusi. Ni mkiristo, ndo nimemaliza diploma ya records management.
Natafuta mwenza wa hali yangu awe mrefu, maji ya kunde, mwembamba, awe na kazi angalau, awe mkristo, atakayenidhiria, atakayenifundisha mengi kuhusu maisha na baadaye kuwa mume na mke.
Aliye tayari karibuni na Mungu awabariki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unataka kusema huyu ni Dada Jane?
Mkuu sio kila anayepata hayo maradhi basi anakua aliyapata kwa njia ya kugegedana,acha kukariri.
Mkuu ule uzi wa Dajane naona mod's wameufunga!Halaf baadae mnakuja kufunguliana nyuzi za kushutumiana mmeambukizana
Asante kwakumwelimisha he thinks only on that wayMkuu sio kila anayepata hayo maradhi basi anakua aliyapata kwa njia ya kugegedana,acha kukariri.
Mkuu ule uzi wa Dajane naona mod's wameufunga!