Wew mbaguzi. Kwanini mwanume ambae hana hali kama yako humtaki? Tengua hiyo kauli ya kuwa lazima mwanaume awe na hali kama yakoHabari wana JF
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26. Ninaishi na HIV.
Ni mfupi wa wastani, sio mweupe wala mweusi. Ni mkiristo, ndo nimemaliza diploma ya records management.
Natafuta mwenza wa hali yangu awe mrefu, maji ya kunde, mwembamba, awe na kazi angalau, awe mkristo, atakayenidhiria, atakayenifundisha mengi kuhusu maisha na baadaye kuwa mume na mke.
Aliye tayari karibuni na Mungu awabariki
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app