Natafuta mume mwenye umri wa miaka 30 hadi 37

Asante kwa kuwaelewesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ya huyu mleta thread alijiunga jana hapa JF. Nina uhakika sio mgeni hapa JF
Uliza tena swali lingine mkuu
Nakwende unaangaika na mambo yasiyokuhusu, nahisi utakuwa darasa la saba. maana ugeni au wenyeji hauna mahusiano na mada ya mtoa mada. Lakini umeshuparia sana. mnajua humu ndani unaweza kufahamika uwezo wako wa kuelewa jinsi unavyorespond mada. tuwe makini kwa hilo.
 
Pole sana mdogo wangu. Lakini punguza vigezo basi, ukisema awe mrefu, mwembamba, maji ya kunde na mwenye kazi itabidi umtengeneze wa kwako au utachelewa sana kumpata.
Wewe tafuta tu mume mwema basi, hayo mengine ni kuingilia kazi ya muumba.
 
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…