Natafuta mume mwenye umri wa miaka 30 hadi 37

Well said, although kuna mashaka kwa mleta maada kama siyo fake ID and fake story, am not sure, maana kajiunga Jana tu Leo mjengoni kusaka mchumba
 
Chaputa H.I.V. tunaisikia tu kwa jirani[emoji848][emoji848]

Sichenji buku kwa njaa ya siku moja*
 
Miaka 26... unajiita 'msichana'? acha masihara.

Miaka ya nyuma VVU ilikuwa kama hela, kila mtu anasema hana.

Ila siku hizi, daaah mademu umri mdogo tu tayari weshajiunga 'gridi ya taifa' na wanafunguka. Hizi chura zitatumaliza walai.

"Para anasema Wahaya ndo walioleta 'umeme' bongo" ... by Songa.

-Kaveli-
 
kila la kheri nakutakia

Sent usingJamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…