Natafuta mume, nina miaka 24

Mydevran

Member
Joined
Aug 9, 2023
Posts
11
Reaction score
40
Hello,

Mimi ni binti wa miaka 24 natafuta mume awe mtu wa makamo umri 40 mpaka 50 awe mnene kiasi sitaki mwembamba napatikana arusha sakina asiwe mfupi.

Mimi ni mweupe kiasi nina hips kiasi na pia ni mrefu kiasi ninafanya baishara nauza viatu na nguo za ndani.
 
Hauna bahati, mimi wanawake wa Arusha No Way tena mbaya zaidi Sakina!
Ni warembo ila la! Hapana.
 
Umepata tayari Ila huo umri utapata sponsor au tuseme mume wa mtu Ila kwa kua bado mbichiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…