Natafuta mume, nina miaka 24

Hello!Mimi nipo tayari. Njoo DM tuyajenge.
 
kama serious nitafute
 
Umeshajiuliza ulikosea wapi mpaka wawe wanakupita tu? Wanawake wa kwenye mitandao mkipewa mashavu mnapandisha mabega sana! Hujasikia deep pond anavoteseka na ndoano?
 
Tuma picha mbona kama demu wangu wa Sakina
 
Afadhali wa Sakina kuliko wa Njiro.Njiro acha tu.
 
Huyu analenga pesa anajua akiolewa na mzee atakufa mapema kisha arithi pesa abaki mjane hana nia nyingine kaskazini ya malengo
 
hapo nakazia
 
Walikufanyaje
Alinitapeli na nikamngoja muda mrefu bila kutokea licha ya kutimiza mahitaji yake yote.Ni miaka 10 imepita lakini siwezi kusahau.Kila demu baada ya hapo akiniambia anaishi Njiro warning lights zinawaka kichwani naamua ku pass.
 
Njoo pm chapu mamiii jf nzima mwanaume niliyebaki mwenye mapenz ya kweli ni mimi pekee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mtoa mada utaliwa na kuchunwa juu. Huyu ni mume wangu tuna watoto watatu.
Nipo tu Moshi kuja kula sikukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…