Natafuta mume, nina miaka 24

CV haijakamilika hujaeleza kama una mtoto au la,maana siku hizi kwa umri wako wengi wameshazaa...
 
Huwa hawasemi moja kwa moja lakini ni ukweli Wanawake wengi hasa wa Kibongo hupendelea kudate na Mwanaume anayejiweza

Ndiyo maana binafsi napenda kutafuta hela kila siku hata kama itakuwa ni Jumapili baada ya Ibada
babu si ulitaka kampenzi kapya...kula chuma hiko
 
Pension yangu ni limited Mjukuu, asije kuikausha bure nikakosa hata hela ya kununua tumbaku πŸ˜…πŸƒπŸƒπŸƒ
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ au babu we sio mnene
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…