Natafuta mume, nina miaka 24

Inabidi tuongeze miaka alafu tule sana ili tunenepe kuipata hii fulsa[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] babu si udake fursa
Sina hamu na Slay Queens Mjukuu

Kuna siku Slay Queen mmoja ilibaki kidogo tu nimkabidhi kadi yangu ya benki yenye Pension yangu, nahisi kuna mahali alinishika kuniteka yule binti πŸ€—

Isingekuwa uzoefu wangu, kadi pamoja na hati za nyumba vilikuwa vinaenda siku ile πŸ€ͺ
 
Sasa vijana tupo unataka wazee kweli 😭😭😭
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu pole sana
 
Dini ...?
Una watoto? wangapi?
Pm umefunga mbona?
Kabila gani?
 
Pension yangu ni limited Mjukuu, asije kuikausha bure nikakosa hata hela ya kununua tumbaku [emoji28][emoji125][emoji125][emoji125]
Kati ya vitu huwa sitaki kuvifikiria huwa ni pension aisee mm hata wasiponipa s awa tu , siku najaza contract 2008 hr akaniambia unaenda kuanza kazi na bado kijana mdogo kaanze kujipanga kustaf leo hii. Nliyashika maneno yake kama torati and napita kwenye ule mstari kama tren vile
 
40 mpaka 50
Abilities
Economic
Depression
Freedom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…