Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Daah halafu pesa zenyewe hatuzioni mikononi mwaoWanawake ni viumbe ambao ni vigumu sana kuwaelewa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah halafu pesa zenyewe hatuzioni mikononi mwaoWanawake ni viumbe ambao ni vigumu sana kuwaelewa!!
Wakija kushtuka wamefika miaka 40 bila kupata mtu wa maana wa kuwaweka ndaniHawa ni wale maslay qeen wenye maduka ya nguo kuanzia mianzini mpaka kwa Idd ,hapo nje unakuta amepaki ki IST
Kwa kweli aisee 😅Utakufa kwa presha kwa kweli. 💨💨💨😅
Atakuwa amewalenga wenye financial stability
Hataki mwanaume wa kumwambia kuna deal nalisubiria [emoji28][emoji119]
Sina hamu na Slay Queens Mjukuu[emoji23][emoji23][emoji23] babu si udake fursa
Miaka 40 si ni sawa na baba yake?
Sasa vijana tupo unataka wazee kweli 😭😭😭Hello,
Mimi ni binti wa miaka 24 natafuta mume awe mtu wa makamo umri 40 mpaka 50 awe mnene kiasi sitaki mwembamba napatikana arusha sakina asiwe mfupi.
Mimi ni mweupe kiasi nina hips kiasi na pia ni mrefu kiasi ninafanya baishara nauza viatu na nguo za ndani.
Sina hamu na Slay Queens Mjukuu
Kuna siku Slay Queen mmoja ilibaki kidogo tu nimkabidhi kadi yangu ya benki yenye Pension yangu, nahisi kuna mahali alinishika kuniteka yule binti [emoji847]
Isingekuwa uzoefu wangu, kadi pamoja na hati za nyumba vilikuwa vinaenda siku ile [emoji2957]
Asante Mjukuu, mko vizuri sana nyie vijana 🤗🏃🏃[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu pole sana
Dini ...?Hello,
Mimi ni binti wa miaka 24 natafuta mume awe mtu wa makamo umri 40 mpaka 50 awe mnene kiasi sitaki mwembamba napatikana arusha sakina asiwe mfupi.
Mimi ni mweupe kiasi nina hips kiasi na pia ni mrefu kiasi ninafanya baishara nauza viatu na nguo za ndani.
40 to 50 sio mzee sana ni watu ambao wameshamaliza hekaheka za ujana uzee unaanzia 55 huyu sasa hata s erikali ishaona hawezi tenaUnataka wazee.
Kati ya vitu huwa sitaki kuvifikiria huwa ni pension aisee mm hata wasiponipa s awa tu , siku najaza contract 2008 hr akaniambia unaenda kuanza kazi na bado kijana mdogo kaanze kujipanga kustaf leo hii. Nliyashika maneno yake kama torati and napita kwenye ule mstari kama tren vilePension yangu ni limited Mjukuu, asije kuikausha bure nikakosa hata hela ya kununua tumbaku [emoji28][emoji125][emoji125][emoji125]
40 mpaka 50Hello,