Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Teh teh 😂😂 mpaka wastaafu ruksa kutuma maombi.Umesema mpaka 70?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh 😂😂 mpaka wastaafu ruksa kutuma maombi.Umesema mpaka 70?
Hako kamkakati ka mzee wa 70 nimekapenda. Yaani akijitahidi sana baada ya miaka 20 tu unamiliki mali zake zote, utakuwa na miaka 49Hello mimi ninamiaka 29 ...
Ninamtt mmoja
Najishghulisha na ususi
Natafuta mume kuanzia miaka 30_70
Awe na hofu ya mungu ..awe na upendo wakweli awe anajishughulisha
Hata mkiwa mnatoka huwaga mnawakazia kwa kuwanyima namba wanaume wanaowaomba namba, swala sio kutoka unaweza ukawa unatoka na bado ukawa na maringo kama yotePia usisahau kuwa unajitoa out unaenda kukaa sehemu nzuri kabisa unapata kinywaj8 chako, ukiwa unajifungia ndani, hamna kaka atakayekuona.
Nimeshangaa kweli...at least angeishia 45Teh teh 😂😂 mpaka wastaafu ruksa kutuma maombi.
Kwanini sasa una age hiyo mkuu? Hauoni kama umezeeka tayari?Nina miaka 73
Nije inbox yako?
Hofu ya Mungu huwa mnamaanisha nini?Hello mimi ninamiaka 29 ...
Ninamtt mmoja
Najishghulisha na ususi
Natafuta mume kuanzia miaka 30_70
Awe na hofu ya mungu ..awe na upendo wakweli awe anajishughulisha
Vipi jimbo liko wazi😀Hofu ya Mungu huwa mnamaanisha nini?
Wewe unatafuta mwezeshaji sio mume miaka 70.. joking??Hello mimi ninamiaka 29 ...
Ninamtt mmoja
Najishghulisha na ususi
Natafuta mume kuanzia miaka 30_70
Awe na hofu ya mungu ..awe na upendo wakweli awe anajishughulisha
Hata kama hapana kwakweli.Vipi jimbo liko wazi😀
mmh 70 🌚….okay. All the best mremboHello mimi ninamiaka 29 ...
Ninamtt mmoja
Najishghulisha na ususi
Natafuta mume kuanzia miaka 30_70
Awe na hofu ya mungu ..awe na upendo wakweli awe anajishughulisha
Yes wakimalizaga staili zote tunatafutwa yeyote ilimradi anapumua...Mungu nisamehemmh 70 🌚….okay. All the best mrembo
ila 29 hadi 70 parefu mnoYes wakimalizaga staili zote tunatafutwa yeyote ilimradi anapumua...Mungu nisamehe
😀Yes wakimalizaga staili zote tunatafutwa yeyote ilimradi anapumua...Mungu nisamehe
Ndio yeyote huyo...anatafutwa kufa na kuzikana arithiila 29 hadi 70 parefu mno
💣kuanzia miaka 30_70
Mkuu wa moto sana ww...kama upo Dar njoo PM tuyajenge
Ng'ombe hazeeki maini mkuuKwanini sasa una age hiyo mkuu? Hauoni kama umezeeka tayari?