Natafuta mume, nina miaka 29

Natafuta mume, nina miaka 29

Kuna kesi fulani ya succession nahandle, Binti ana 26 years aliolewa na jamaa Mzee Sana ,wameishi miaka miwili jamaa kafa , Mali alioachiwa hata angepewa miaka 100 hangeweza ipata , life is funny .
Ke nawapa pongezi siku hizi mmejitoa mhanga aisee
 
Hello mimi ninamiaka 29 ...
Ninamtt mmoja
Najishghulisha na ususi
Natafuta mume kuanzia miaka 30_70
Awe na hofu ya mungu ..awe na upendo wakweli awe anajishughulisha

Dini gani??
 
Huyu ndo anatafuta mume sio wale wengine masharit kibaaao. Mume miaka 70 shida ikowapi kuna walioacha ndoa kuna waliofiwa nk. So mwacheni dada apate tulizo la moyo wake. Kazi yenyewe nzuri unamfungulia saloon unaendelea kuhudumiwa vizuri kumalizia uzeee
 
Hello mimi ninamiaka 29 ...
Ninamtt mmoja
Najishghulisha na ususi
Natafuta mume kuanzia miaka 30_70
Awe na hofu ya mungu ..awe na upendo wakweli awe anajishughulisha
Watu kama nyie ndio taipu yangu nawaelewaga sana Masingo Maza,,,Tuwasiliane basi tufunge Pingu za Maisha,,,na sio ndoa!!
 
Hello mimi ninamiaka 29 ...
Ninamtt mmoja
Najishghulisha na ususi
Natafuta mume kuanzia miaka 30_70
Awe na hofu ya mungu ..awe na upendo wakweli awe anajishughulisha
Nina 65years njoo ibox
 
Pia usisahau kuwa unajitoa out unaenda kukaa sehemu nzuri kabisa unapata kinywaj8 chako, ukiwa unajifungia ndani, hamna kaka atakayekuona.
Asisaau kwenda na mwanawe hili mtu akimtongoza lazima atauliza huyu nani kupata swaga utajibj mwanao so hakutakuwa na tatizo tena
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie mnakatisha watu tamaa kwa comment zenu si nzuri ...kwani ata akiwa na miaka 70 akinifia sawa ujue ilipangwa na mungu maneno yenu yanazidi nitia nguvu ....alfu naongezea miaka ata awe na miaka mia ni sawa tukiriziana [emoji57][emoji57][emoji57]
 
Back
Top Bottom