Natafuta mume, nina miaka 30

Natafuta mume, nina miaka 30

Habarini wana JF,

Mimi natafuta mume wa kuishi naye;

~ Mimi nina miaka 30
~ Mnyamwezi
~ Nina elimu ya shahada katika sayansi ya jamii

Natafuta mme mwenye vigezo vifuauatavyo;
1. Awe na miaka 38 na kuendelea
2. Awe na shughuli maalumu ya kumpatia kipato halali
3. Awe kabila lolote
4. Awe na elimu angalau kidato cha nne au ajue kusoma na kuandika.
5. Dini - muislamu

Kama atataka taarifa zaidi aje PM.
Njoo pm tuyajenge
 
eb72e6afbe80abdd9f61d66b7558d763.jpg
 
Tatizo gani sasa wala sina tatizo labda nimepangiw jamii forum ndio nitapata mwenzangu huwezi jua ya Mungu mengi.
OK unataka mtu usiyemjua wa kukutana jamii forums, watsapp, Facebook etc mitandaoni?

Kuoa au kuolewa kama hayo makundi nimetaja kama wewe hata moja hujapata ndoa hiyo itavunjika mbele tena vibaya mbele ya safari no matter what Mark my words
 
Dah! Hapa nilishakosa siku tangazo likiwekwa humu la anayetafuta mwanaume yoyote anayepumua mje mnitag jamani!
 
OK unataka mtu usiyemjua wa kukutana jamii forums, watsapp, Facebook etc mitandaoni?

Kuoa au kuolewa kama hayo makundi nimetaja kama wewe hata moja hujapata ndoa hiyo itavunjika mbele tena vibaya mbekmle safari no matter what Mark my words
Wala haitovunjika najiiamini
 
Back
Top Bottom