Natafuta mume, nina miaka 30

dini ya nini dunia ya leo? We una asili ya ubaguzi, kwanini usiwatafute msikitini? Majaliwa muislamu mke wake Mary, hamjifunzi tu kutoka kwa wakubwa?
Kwanini comments kama hizi sikutani nazo katika nyuzi ambazo mwanamke mkristo anatafuta mwanaume mkristo mwenzie?

Basi hapo umeona Uislam basi roho imekuuuma.
 
Single dady hututaki?
 
Naitwa Yohana Mbatizaji, ila wanangu wa faida kitaa wananiita Mehmet.

Nadhan nakwalifai😊
 
Wee mnyamwezi wa wapi sikonge, nzega au ipole?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…