Natafuta mume njoo tuyajenge

Umri na sauti ya kubembeleza vimenitoa kwenye kapu la watarajiwa.

Kila la kheri.
 
Kiukweli mm cjawahi kuumizwa na mwanamke ever since I started dancing this music of relationship.

Sifa zingine zote ninazo.
 
Hongera,umekua very humble binti,Mungu akusaidie upate mtu wa kweli,hujaweka masharti kibao km wengine mara mweupe,mrefu,mwenye gari,mweny kazi nzuri,wanadhani wameumba wao.
 
Hongera,umekua very humble binti,Mungu akusaidie upate mtu wa kweli,hujaweka masharti kibao km wengine mara mweupe,mrefu,mwenye gari,mweny kazi nzuri,wanadhani wameumba wao.
asanteeeeeee
 
Ndugu wewe bado sana yule wako atakuja humu huwezi kupata mwanaume utaishia kudangangwa na hiyo pesa yako unayotafuta wakuibie akina Mario wamejaaa tele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…