Natafuta mume njoo tuyajenge

Natafuta mume njoo tuyajenge

Umri na sauti ya kubembeleza vimenitoa kwenye kapu la watarajiwa.

Kila la kheri.
 
Kiukweli mm cjawahi kuumizwa na mwanamke ever since I started dancing this music of relationship.

Sifa zingine zote ninazo.
 
Ni binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati
sifa zangu
sina mtoto
sijawai olewa
nimewai kuwa na mahusiano
elimu kidato cha nne
sio mnene wala sio mwembamba
rangi ya kati
mjasiriamali

sifa za ninae mtaka
awe ameumizwa
maji ya kunde
umri 28 kuendeea
awe kacheza kachoka hana tamaa
awe anajituma na apende ujasiliamali
awe anajua kubembelezaa sio unakua na mtu utafikili mpo ccp mosh au jkt
NB naomba awe na mapenzi ya kweli mchapa kazi na awe na sauti ya kubembeleza
Hongera,umekua very humble binti,Mungu akusaidie upate mtu wa kweli,hujaweka masharti kibao km wengine mara mweupe,mrefu,mwenye gari,mweny kazi nzuri,wanadhani wameumba wao.
 
Hongera,umekua very humble binti,Mungu akusaidie upate mtu wa kweli,hujaweka masharti kibao km wengine mara mweupe,mrefu,mwenye gari,mweny kazi nzuri,wanadhani wameumba wao.
asanteeeeeee
 
Ni binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati
sifa zangu
sina mtoto
sijawai olewa
nimewai kuwa na mahusiano
elimu kidato cha nne
sio mnene wala sio mwembamba
rangi ya kati
mjasiriamali

sifa za ninae mtaka
awe ameumizwa
maji ya kunde
umri 28 kuendeea
awe kacheza kachoka hana tamaa
awe anajituma na apende ujasiliamali
awe anajua kubembelezaa sio unakua na mtu utafikili mpo ccp mosh au jkt
NB naomba awe na mapenzi ya kweli mchapa kazi na awe na sauti ya kubembeleza
Ndugu wewe bado sana yule wako atakuja humu huwezi kupata mwanaume utaishia kudangangwa na hiyo pesa yako unayotafuta wakuibie akina Mario wamejaaa tele
 
Back
Top Bottom