julinyanda
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 203
- 87
We n noma....
Jiandae kwa hili hakuna mwanaume atamaliza tamaa nasisitiza hakuna..hao watatu ni viongozi wa dini tena baadhi yao.!
Golden Chance yamim naomba iwe kwako Serious njoo pm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi inaruhusiwa eeeh!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi inaruhusiwa eeeh!!!
Pingamizi gani tena jamani!! Wakati nami nina mpango wa kuwa sister!!!Labda ukaweke pingamizi!
Pingamizi gani tena jamani!! Wakati nami nina mpango wa kuwa sister!!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Am serious ujue...
tangu uniache nimefanya tafakuri kubwa sana.
Nahisi nitajiunga na Don Bosco ama Jesuit brothers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Tangu nikuache!!!!!!
Alafu speaking of upadre kuna kitu nimekumbuka, naweza kuja private?
Naunga mkono hoja wallah
Naona dogi anajipeleka mwenyewe kwa chatu...Hata funguo hukunirudishia..pita mpaka ndani!
Unataka mkweche!!!Ni binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati.
Sifa zangu;
Sina mtoto
Sijawai olewa
Nimewai kuwa na mahusiano
Elimu kidato cha nne
Sio mnene wala sio mwembamba
Rangi ya kati
Mjasiriamali
Sifa za ninae mtaka;
Awe ameumizwa
Maji ya kunde
Umri 28 kuendeea
Awe kacheza kachoka hana tamaa
Awe anajituma na apende ujasiriamali
Awe anajua kubembelezaa sio unakua na mtu utafikili mpo CCP Moshi au JKT
NB: Naomba awe na mapenzi ya kweli mchapa kazi na awe na sauti ya kubembeleza.
Kumpata ni mchakato a.k.a hatua mkuu,usimkatishe tamaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Jiandae tunaenda kenya send-off
Hahahahahaha dahkwa huo umri wa unaemtaka huwezi kumpata aliyecheza akachoka. MTU aliyecheza akachoka ni kuanzia miaka 97 na kuendelea
Kenya tena!!! Huko nenda peke yako.Jiandae tunaenda kenya send-off