Natafuta mume njoo tuyajenge

Natafuta mume njoo tuyajenge

265b57efa3b5e8c5d70f33757c65b82f.jpg


Jiandae kwa hili hakuna mwanaume atamaliza tamaa nasisitiza hakuna..hao watatu ni viongozi wa dini tena baadhi yao.!
We n noma....
 
Pingamizi gani tena jamani!! Wakati nami nina mpango wa kuwa sister!!!

Am serious ujue...

tangu uniache nimefanya tafakuri kubwa sana.

Nahisi nitajiunga na Don Bosco ama Jesuit brothers.
 
Am serious ujue...

tangu uniache nimefanya tafakuri kubwa sana.

Nahisi nitajiunga na Don Bosco ama Jesuit brothers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Tangu nikuache!!!!!!


Alafu speaking of upadre kuna kitu nimekumbuka, naweza kuja private?
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Tangu nikuache!!!!!!


Alafu speaking of upadre kuna kitu nimekumbuka, naweza kuja private?


Hata funguo hukunirudishia..pita mpaka ndani!
 
Ni binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati.

Sifa zangu;
Sina mtoto
Sijawai olewa
Nimewai kuwa na mahusiano
Elimu kidato cha nne
Sio mnene wala sio mwembamba
Rangi ya kati
Mjasiriamali

Sifa za ninae mtaka;
Awe ameumizwa
Maji ya kunde
Umri 28 kuendeea
Awe kacheza kachoka hana tamaa
Awe anajituma na apende ujasiriamali
Awe anajua kubembelezaa sio unakua na mtu utafikili mpo CCP Moshi au JKT

NB: Naomba awe na mapenzi ya kweli mchapa kazi na awe na sauti ya kubembeleza.
Unataka mkweche!!!
 
Back
Top Bottom