Natafuta mume njoo tuyajenge

Natafuta mume njoo tuyajenge

Acha kumkatisha tamaa na kutubania, wengine tunataka mwanamke wa kuoa kwa nia ya dhati kabisa.Sasa kama fursa imetokea kwanini tusichangamkie?
 
Ni binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati
sifa zangu
sina mtoto
sijawai olewa
nimewai kuwa na mahusiano
elimu kidato cha nne
sio mnene wala sio mwembamba
rangi ya kati
mjasiriamali

sifa za ninae mtaka
awe ameumizwa
maji ya kunde
umri 28 kuendeea
awe kacheza kachoka hana tamaa
awe anajituma na apende ujasiliamali
awe anajua kubembelezaa sio unakua na mtu utafikili mpo ccp mosh au jkt
NB naomba awe na mapenzi ya kweli mchapa kazi na awe na sauti ya kubembeleza
Hujawahi pata tu mkuu!!?
 
Njoo pm
 
Yaani kweli kama umeniandikia mm. Pm yangu inagoma nipo more than serious. Naomba ni pm.
 
Ni binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati
sifa zangu
sina mtoto
sijawai olewa
nimewai kuwa na mahusiano
elimu kidato cha nne
sio mnene wala sio mwembamba
rangi ya kati
mjasiriamali

sifa za ninae mtaka
awe ameumizwa
maji ya kunde
umri 28 kuendeea
awe kacheza kachoka hana tamaa
awe anajituma na apende ujasiliamali
awe anajua kubembelezaa sio unakua na mtu utafikili mpo ccp mosh au jkt
NB naomba awe na mapenzi ya kweli mchapa kazi na awe na sauti ya kubembeleza
Njoo mama huenda sifa nikawa nazo za kutosha
 
Back
Top Bottom