Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
acha kutuharibia windo jamaa sasa si Marioo tutakula wapi sio fresh kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimadota Picha veepee mbona huwekiUko api weye
Ni binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati.
Sifa zangu:
Sina mtoto
Sijawai olewa
Nimewai kuwa na mahusiano
Elimu kidato cha nne
Sio mnene wala sio mwembamba
Rangi ya kati
Mjasiriamali
Sifa za ninayemtaka:
Awe ameumizwa
Maji ya kunde
Umri 28 kuendeea
Awe kacheza kachoka hana tamaa
Awe anajituma na apende ujasiriamali
Awe anajua kubembelezaa sio unakua na mtu utafikili mpo CCP Moshi au JKT
NB: Naomba awe na mapenzi ya kweli mchapa kazi na awe na sauti ya kubembeleza.
Weka namba ya simu Nina uhitajiNi binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati.
Sifa zangu:
Sina mtoto
Sijawai olewa
Nimewai kuwa na mahusiano
Elimu kidato cha nne
Sio mnene wala sio mwembamba
Rangi ya kati
Mjasiriamali
Sifa za ninayemtaka:
Awe ameumizwa
Maji ya kunde
Umri 28 kuendeea
Awe kacheza kachoka hana tamaa
Awe anajituma na apende ujasiriamali
Awe anajua kubembelezaa sio unakua na mtu utafikili mpo CCP Moshi au JKT
NB: Naomba awe na mapenzi ya kweli mchapa kazi na awe na sauti ya kubembeleza.
Awe kacheza kachoka, awe kaumizwaNi binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati.