Natafuta mume (rafiki na msiri wangu)

Natafuta mume (rafiki na msiri wangu)

Abbyrashel

Member
Joined
Jan 22, 2020
Posts
10
Reaction score
32
Mimi ni mke
Nipo Arusha
Mfanya biashara
Umri 26
Mweupe, urefu wastani, umbo la mwanamke wa ki-Tanzania
Namuamini Mungu


Natafuta mwanaume wa vigezo
Mwanaume atakaekuwa rafki, mpnz na mume kwang
Anaependa watoto na familia kiujumla
Atakaefahamu thamani yang kwake
Mwenye kaz haswa muajiriwa serikalin au mwenye kazi ya uhalali
Awe mweusi asiwe mfupi sana
Awe muwazi mkweli na mchangamfu
 
1. Kuna codes hapa umezificha...
Unadhani kuna mwanaume anachukia watoto?
We sema una mtoto, halafu utuambie baba ake yuko wapi?

2. Unamtaka mwenye TGS level gani?


#YNWW

Sina mtoto kabsa ….ila i got experience flan inayonifanya niwaambie mwanaume anae penda watoto
Actually any as long as tunaweza kufanya maisha it’s very oky
 
Shida ya wanawake wa sasa wanatafuta mfanyakazi au mfanyabiashara kwenye ndoa. Badala ya kutafuta mume ndiyo maana hamuolewi.
Hata akikuoa siku akifukuzwa kazi au biashara zikiyumba utamkimbia. Mnatanguliza masilahi mbele kuliko utu.
Kumbuka ndoa ni maisha halisi. Kuna kufukuzwa kazi, biashara kuyumba au kuugua. Utaweza kuvumilia hayo ikiwa uliingia kwenye ndoa kwasababu mumeo ni muajiriwa, amejiajiri au mfanyabiashara?
Mim ni mke
Nipo Arusha
Mfanya biashara
Umri 26
Mweupe ,urefu wastan , umbo la mwanamke waki Tanzania
Namuamini Mungu


Natafuta mwanaume wa vigezo
Mwanaume atakaekuwa rafki ,mpnz na mume kwang
Anaependa watoto na familia kiujumla
Atakaefahamu thaman yang kwake
Mwenye kaz haswa muajiriwa serikalin au mwenye kaz ya uhalali
Awe mweusi asiwe mfupi sana
Awe muwazi mkweli na mchangamfu
 
Back
Top Bottom