Natafuta mume (rafiki na msiri wangu)

Natafuta mume (rafiki na msiri wangu)

Mimi nakufaa Ninapenda watoto. Tayari Ninao Tano nataka wengine wanne.
 
M
1. Kuna codes hapa umezificha...
Unadhani kuna mwanaume anachukia watoto?
We sema una mtoto, halafu utuambie baba ake yuko wapi?

2. Unamtaka mwenye TGS level gani?

#YNWW
MZee wa LSSE1 chukua goma🤣🤣🤣
 
Jamani tuache kuwabeza dada zetu.kumbukeni hata nyie mna dada na watoto wa kike,ukiona mtu anatafuta mme humu mjue ana hitaji kweli,tujifunze kuwavumulia na kuwahurumia,tunatumia ID fake humu usikute ni dada zenu,kumuuliza kama ana marinda ni udhalilishaji
Pole sana dada.
Njoo pm mi pia sina mke
 
Mungu akujaalie upate hitaji la moyo wako hata kama sio humu jf.
Kwa maelezo yako inaonesha kabisa unajielwa
 
Mim ni mke
Nipo Arusha
Mfanya biashara
Umri 26
Mweupe ,urefu wastan , umbo la mwanamke waki Tanzania
Namuamini Mungu

Natafuta mwanaume wa vigezo
Mwanaume atakaekuwa rafki ,mpnz na mume kwang
Anaependa watoto na familia kiujumla
Atakaefahamu thaman yang kwake
Mwenye kaz haswa muajiriwa serikalin au mwenye kaz ya uhalali
Awe mweusi asiwe mfupi sana
Awe muwazi mkweli na mchangamfu
Nna vigezo vyote ila nna mke nataman kuwa na mke mdogo, si kwamba nimemchukia mke wangu, nampenda sana ila nina sababu binafsi
 
Kila la kheri mwaya japo kuwa makini ukishaona mtu ana maswali meengi yasiyo na kichwa wala miguu hapa, ambayo angeweza kukuliza huko pembeni na ukampa majibu ujue hana nia.
 
Mim ni mke
Nipo Arusha
Mfanya biashara
Umri 26
Mweupe ,urefu wastan , umbo la mwanamke waki Tanzania
Namuamini Mungu

Natafuta mwanaume wa vigezo
Mwanaume atakaekuwa rafki ,mpnz na mume kwang
Anaependa watoto na familia kiujumla
Atakaefahamu thaman yang kwake
Mwenye kaz haswa muajiriwa serikalin au mwenye kaz ya uhalali
Awe mweusi asiwe mfupi sana
Awe muwazi mkweli na mchangamfu
Niko Shangalai hapa
Nitakuonaje,!??
 
Safi huna vigezo vingi utapata umpendae
 
Wapambanaji hatuna vigezo😥😥

Hakuna binti mtamu kama yule mnatafuta wote!! Baada ya miaka 5+ mnaanza kuuona mwamba.
 
Jamani tuache kuwabeza dada zetu.kumbukeni hata nyie mna dada na watoto wa kike,ukiona mtu anatafuta mme humu mjue ana hitaji kweli,tujifunze kuwavumulia na kuwahurumia,tunatumia ID fake humu usikute ni dada zenu,kumuuliza kama ana marinda ni udhalilishaji
Pole sana dada.
Njoo pm mi pia sina mke
Haiombwi hivyo
 
Back
Top Bottom