Abbyrashel
Member
- Jan 22, 2020
- 10
- 32
1. Kuna codes hapa umezificha...Anaependa watoto...
2. Unamtaka mwenye TGS level gani?Mwenye kaz haswa muajiriwa serikalin...
Nitumie picha dm
1. Kuna codes hapa umezificha...
Unadhani kuna mwanaume anachukia watoto?
We sema una mtoto, halafu utuambie baba ake yuko wapi?
2. Unamtaka mwenye TGS level gani?
#YNWW
Wewe ni mke..na unatafuta mume.
Basi sawa
Hakuna mwanaume anaechukia watoto wake
Dada sema tu kama una mtoto
Una watoto wangapi?
Mileage ya FIATkm ngp zinasoma ?
Mim ni mke
Nipo Arusha
Mfanya biashara
Umri 26
Mweupe ,urefu wastan , umbo la mwanamke waki Tanzania
Namuamini Mungu
Natafuta mwanaume wa vigezo
Mwanaume atakaekuwa rafki ,mpnz na mume kwang
Anaependa watoto na familia kiujumla
Atakaefahamu thaman yang kwake
Mwenye kaz haswa muajiriwa serikalin au mwenye kaz ya uhalali
Awe mweusi asiwe mfupi sana
Awe muwazi mkweli na mchangamfu
Kwani unataka kumuoa?1. Kuna codes hapa umezificha...
Unadhani kuna mwanaume anachukia watoto?
We sema una mtoto, halafu utuambie baba ake yuko wapi?
2. Unamtaka mwenye TGS level gani?
#YNWW