Natafuta mume (searching for husband)

Natafuta mume (searching for husband)

Huyu ni member mwanaume.... Msiingie kwenye mtego. Hii ID mpya ya kutapelia watu na kuwafanya wawe homo.....
 
Habarii Wana JF
Natafuta mume
Nina umri miaka 26
Mkristo
Mjasiriamali

Natafuta mwanaume aliye serious tuanzishe mahusiano endelevu kisha ndoa

Awe mkristo
Asiwe ameoa
Umri anizidi kuanzia 28,29,30...

Sababu ya kuja JF nipo mazingira ambayo dini tofauti na yangu imeshika hatamu na wazazi wangu wamekwisha kataa wanaume wawili waliokuja wa dini tofauti Kiukweli napata walio serious ila dini tofauti na wazazi wangu ni viongozi wakubwa kanisani

PLS:KAMA UPO SERIOUS TUKUTANE PM

Naombeni jamani msi attack post yangu sitaweza kuwajibu na nitajisikia vibaya

MUNGU AWABARIKI
Njoo pm, tuyajenge
 
Na mimi sio mwepesi hivo mpendwa wangu,mimi siharakishi Wala si kuwa sipati watu serious ila dini tofauti,kingine unachotakiwa kuelewa uzazi na udogo,sisi wanawake tuna limit ya umri wa kuzaa tunatofautiana kwenye mitazamo siwezi kataa mtazamo wako,ubarikiwe

Hao unaosema ni serious si walikukula tu!
Eti wewe si mwepesi, sealed ipo?
 
Habarii Wana JF

Natafuta mume
Nina umri miaka 26
Mkristo
Mjasiriamali

Natafuta mwanaume aliye serious tuanzishe mahusiano endelevu kisha ndoa.

Awe mkristo
Asiwe ameoa
Umri anizidi kuanzia 28, 29, 30.

Sababu ya kuja JF nipo mazingira ambayo dini tofauti na yangu imeshika hatamu na wazazi wangu wamekwisha kataa wanaume wawili waliokuja wa dini tofauti Kiukweli napata walio serious ila dini tofauti na wazazi wangu ni viongozi wakubwa kanisani.

PLS: KAMA UPO SERIOUS TUKUTANE PM

Naombeni jamani msi attack post yangu sitaweza kuwajibu na nitajisikia vibaya.

MUNGU AWABARIKI
mi nina 28 sawa nina watoto wawili na sina kazi nakuoa ila baada ya mda naoa mwingine kama upo tayari nakuja Pm nauli naandaa
 
Na mimi sio mwepesi hivo mpendwa wangu,mimi siharakishi Wala si kuwa sipati watu serious ila dini tofauti,kingine unachotakiwa kuelewa uzazi na udogo,sisi wanawake tuna limit ya umri wa kuzaa tunatofautiana kwenye mitazamo siwezi kataa mtazamo wako,ubarikiwe
Huyu anajitambua sana
 
Habarii Wana JF

Natafuta mume
Nina umri miaka 26
Mkristo
Mjasiriamali

Natafuta mwanaume aliye serious tuanzishe mahusiano endelevu kisha ndoa.

Awe mkristo
Asiwe ameoa
Umri anizidi kuanzia 28, 29, 30.

Sababu ya kuja JF nipo mazingira ambayo dini tofauti na yangu imeshika hatamu na wazazi wangu wamekwisha kataa wanaume wawili waliokuja wa dini tofauti Kiukweli napata walio serious ila dini tofauti na wazazi wangu ni viongozi wakubwa kanisani.

PLS: KAMA UPO SERIOUS TUKUTANE PM

Naombeni jamani msi attack post yangu sitaweza kuwajibu na nitajisikia vibaya.

MUNGU AWABARIKI

IMG_1384.jpg
 
Sawa huo umri unao tafuta je umejipanga kwa vita ya majimaji war.mbeleni utakumbuka shuka kumekucha
 
Habarii Wana JF

Natafuta mume
Nina umri miaka 26
Mkristo
Mjasiriamali

Natafuta mwanaume aliye serious tuanzishe mahusiano endelevu kisha ndoa.

Awe mkristo
Asiwe ameoa
Umri anizidi kuanzia 28, 29, 30.

Sababu ya kuja JF nipo mazingira ambayo dini tofauti na yangu imeshika hatamu na wazazi wangu wamekwisha kataa wanaume wawili waliokuja wa dini tofauti Kiukweli napata walio serious ila dini tofauti na wazazi wangu ni viongozi wakubwa kanisani.

PLS: KAMA UPO SERIOUS TUKUTANE PM

Naombeni jamani msi attack post yangu sitaweza kuwajibu na nitajisikia vibaya.

MUNGU AWABARIKI
Kama ni mweusi basi ni PM kama mweupe nipotezee
 
Back
Top Bottom