To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Nami nimeshtuka kweli,au haelewi kuwa tall man, handsome and dark are sweeterNdo nashangaa unaoneje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami nimeshtuka kweli,au haelewi kuwa tall man, handsome and dark are sweeterNdo nashangaa unaoneje
Kila mtu na chaguo lake. HatufananiNami nimeshtuka kweli,au haelewi kuwa tall man, handsome and dark are sweeter
Ooh!!haya hataki..Nami nimeshtuka kweli,au haelewi kuwa tall man, handsome and dark are sweeter
Labda ajuiNami nimeshtuka kweli,au haelewi kuwa tall man, handsome and dark are sweeter
Wapi nimechagua rangi? Unaelewa hata maana ya mixed race?Namuonea huruma kukutana na mwanamke asie na akili anachagua mwanaume kwa kigezo cha rangi.
chotara au kwa kuswahili fasaha suriyamaHivi shombe shombe ndo anakuwaje?
😀🤣🤣Mimi ni shombeshombe la kipare na kisambaa, umri nimekidhi...🤣
Sophy 🤣
Sawa.Ila wasichana wanaishia miaka 18.Unatukana hivihivi sisi wenye rangi ya zambarau?Haina noma.Mola atatujaalia!Habari zenu.
Mimi ni Mschana, umri 30 years, Sina Mtoto. Mimi ni Halfcaste wa kiarabu, sio mweusi wala sio mweupe sn, natafuta mume ambae ni mixed race na mwenye Hofu ya Mungu. Umri wa mwanaume miaka 30-45.
Nipo serious.🙏🏼
Shombe la kipare🤣🤣Sophy 🤣
Kuna watu Wana rangi za zambarau 😂iyo itakuwa shombe la kinyakyusa na kihehe🤣Sawa.Ila wasichana wanaishia miaka 18.Unatukana hivihivi sisi wenye rangi ya zambarau?Haina noma.Mola atatujaalia!