Natafuta Mume Shombe Shombe

Natafuta Mume Shombe Shombe

Hivi sisi wambulu na warangi sio washombeshombe kweli ? au najinyima nafasi hapa
 
Namuonea huruma kukutana na mwanamke asie na akili anachagua mwanaume kwa kigezo cha rangi.
 
wee sio bint acha uwongo.wewe nimmama japo hujazaa chunga usije ukashangaa unakuwa mbibi bado tuu hujazaa.kwatabia zako zakuchagua vitu ambavyo huna uwezo wakuvipata japo vipo.
 
ukifika miaka 40 hujampata shombe shombe mwenzio sisi wazoa taka tupo sisi tunaskuma ata magari ya mkaaa trip shamba trip gereji yenye miaka 35 nakuendelea ila angalizo kwa umri huo kijana wa miaka 30 humuwezi bado ni mdogo tena shombe mwenzio ndo kwanza yupo na vitoto vya miaka 18.
 
Endelea kutafta tuu.. [emoji854][emoji854].. shombeshombe ,
We mwenyewe una sifa zip za ziada tifauti na halfcast
 
Ngoja nitoke lodge nitakutafuta malkia wangu mrembo mm ni shombeshombe miguu meusi usoni mweupe mikononi rangi ya kunde
 
Habari zenu.

Mimi ni Mschana, umri 30 years, Sina Mtoto. Mimi ni Halfcaste wa kiarabu, sio mweusi wala sio mweupe sn, natafuta mume ambae ni mixed race na mwenye Hofu ya Mungu. Umri wa mwanaume miaka 30-45.

Nipo serious.🙏🏼
Sawa.Ila wasichana wanaishia miaka 18.Unatukana hivihivi sisi wenye rangi ya zambarau?Haina noma.Mola atatujaalia!
 
Back
Top Bottom