Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
- Thread starter
-
- #281
Hivi kwani ukizaa na mtu lazima uoane nae??Hongera kwa kutafuta Mme wa kukuoa. Ila Binafsi na swali... Yule alie zaaa nae huyo mtoto mmeshindana nn mpaka asikuoe yeye!
Ha ha hadaaah nina 36 net. plz nisubiri mwaka mmoja miaka itimie vigezi vingine ninavyo umri tu ndy bado mwaka mmoja
Amina.Utampata ili muombe mungu
Kwasababu mnaogopa kuwa challenged!!Kuna changamoto kubwa sana kuishi na wanawake walio Soma.
wasabato jumamosi hawafanyi kazi..sasa unafkiri Bata zitalika saa ngapi?Kwanini unawakataa wasabato
Ha ha ha haMiaka 37 mmmmh utazaa watoto wangapi kabla uzazi haujaisha? Mmmh nasita kukuoa aisee.....
Kuwa mpole, utaolewa bila shakaWa Master hatakiwi kuolewa ama??
Hii ni mtazamo wakoSamehe ujinga wangu, lakini miaka 37 single mother, kuolewa kazi ipo. Labda upate baba aliyetalikiwa au kufiwa na mke, maana ni kweli wapo, lakini nitakushauri sana chukua muda wa kutosha kutafakari watu hao wana changamoto zao. Kitu pekee kinachoshinda yote haya ni upendo. Nakutakia heri.
Embu andika hiyo insha.Nawaambia kuna changamoto zaidi kuishi na mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume mwingine. Tena kasema mtoto ni mdogo, mwaka mmoja! Hii mada naweza kuandikia hata insha ya kurasa 100!
Imenibidi kucheka tu.Akazae tena sasa anatafuta wa kuolewa nae wa nini??
Dini ni kigezo cha muhimu mno mno katika mahusiano hata haya tu yasiyo na malengo.wewe utafuti mme sasa kwa nini ubague dini
0628962624 nitafuteMatatizo unapima kwa kuchelewa kuolewa??
Na je umefanya utafiti wanaume wa umri huu wote wameoa?? au watumia tu mawazo yako??
Nimekuombea heri, na nazidi kukuombea Mungu akufanikishie. Changamoto haimaanishi kuwa jambo haliwezekani.Embu andika hiyo insha.
Mbona wapo wengi tu wanaume wameoa wanawake wenye watoto na ndoa zimedumu??
Wapo wanawake wameolewa na wanaume wenye watoto na ndoa zimedumu?
Changamoto zipo tu hata zile ndoa zisizo na watoto.
Kikubwa hapa wanaume muache ubinafsi wa kuona mwanamke mwenye mtoto hamuwezi kuishi nao wakati nyie mnao watoto wengi tu huko na mnataka kuoa mke asiye na mtoto.
Sasa mnafikiro hao mliozaaa nao wabakie kuwa michepuko yenu?? au wasiolewe??
Uchoyo huo mama mdogoYaani kwakuwa tu muda umeenda basi niolewe na niliyemzidi umri
hapana
bado nachagua wa kunipa furaha bila majuto.
Kwakweli ninabaki nayo papuchi yangu.
Jifariji lakin ukweli utabaki pale pale kuolewa ni heshima kwa mwanamkeAngalau ulifanya la maana kuzaa, kuolewa ni majaliwa.
Amina amina!!Nimekuombea heri, na nazidi kukuombea Mungu akufanikishie. Changamoto haimaanishi kuwa jambo haliwezekani.
Ha ha ha haUchoyo huo mama mdogo
Asante.Kuwa mpole, utaolewa bila shaka