Natafuta mume tuoane

Natafuta mume tuoane

Hongera kwa kutafuta Mme wa kukuoa. Ila Binafsi na swali... Yule alie zaaa nae huyo mtoto mmeshindana nn mpaka asikuoe yeye!
Hivi kwani ukizaa na mtu lazima uoane nae??

Na kama hamkuoana basi mmeshindwana?
 
daaah nina 36 net. plz nisubiri mwaka mmoja miaka itimie vigezi vingine ninavyo umri tu ndy bado mwaka mmoja
Ha ha ha

nakushauri kaongeze tu umri kwenye cheti cha kuzaliwa.
 
Samehe ujinga wangu, lakini miaka 37 single mother, kuolewa kazi ipo. Labda upate baba aliyetalikiwa au kufiwa na mke, maana ni kweli wapo, lakini nitakushauri sana chukua muda wa kutosha kutafakari watu hao wana changamoto zao. Kitu pekee kinachoshinda yote haya ni upendo. Nakutakia heri.
Hii ni mtazamo wako

hauwezi kuwa sahihi kwa wote.

Wapo wanaume wana 40 hawajaoa.
 
Nawaambia kuna changamoto zaidi kuishi na mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume mwingine. Tena kasema mtoto ni mdogo, mwaka mmoja! Hii mada naweza kuandikia hata insha ya kurasa 100!
Embu andika hiyo insha.

Mbona wapo wengi tu wanaume wameoa wanawake wenye watoto na ndoa zimedumu??

Wapo wanawake wameolewa na wanaume wenye watoto na ndoa zimedumu?

Changamoto zipo tu hata zile ndoa zisizo na watoto.

Kikubwa hapa wanaume muache ubinafsi wa kuona mwanamke mwenye mtoto hamuwezi kuishi nao wakati nyie mnao watoto wengi tu huko na mnataka kuoa mke asiye na mtoto.

Sasa mnafikiro hao mliozaaa nao wabakie kuwa michepuko yenu?? au wasiolewe??
 
Nimekuombea heri, na nazidi kukuombea Mungu akufanikishie. Changamoto haimaanishi kuwa jambo haliwezekani.
 
Back
Top Bottom