Natafuta mume tuoane

Nina mashaka na mleta mada ,akiniruhusu nitasema asiponiruhusu napiga kimya.
 
sasa ukiwa umenizidi ndo nini sasa...yani wewe jua limezama tayari bado unaona iyo miaka 2 nyingi sana..haya bhana nisionekane nimekamia sana baki na papuchi yako
Yaani kwakuwa tu muda umeenda basi niolewe na niliyemzidi umri

hapana

bado nachagua wa kunipa furaha bila majuto.

Kwakweli ninabaki nayo papuchi yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…