Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,198
- 3,950
Nasikia jamaa ni wabishi balaa....anyway, ngoja nae aseme ni kwann hawataki Wa7toKwanini unawakataa wasabato
Kuajiriwa ni kutafuta pia.
Sio anakuja marioo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia jamaa ni wabishi balaa....anyway, ngoja nae aseme ni kwann hawataki Wa7toKwanini unawakataa wasabato
Kuajiriwa ni kutafuta pia.
Sio anakuja marioo
Kama upon tayari uwe mke wa pili njoo inbox tuyajenge ila umri nna 34 muislam safi.Salama wakuu wa love connect.
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.
Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.
Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.
Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.
Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
Naunga mkono. jamaa watata sana. Hata ukiongea nao ni kama wanawasiliana kwanza na 'mungu' wao.Ni ngumu sana kwa tabia zako za kibaguzi kupata mme unayefikiri anakufaa na ni wa maana wakati wewe siyo wa maana.
i.e i. Awe mkristo lakini siyo msabatho
ii. Wasabatho wana masharti magumu
iii. Wasabatho wana tabia za kukera.
Yuko sahihi. Usiusemee moyo wake.Ni ngumu sana kwa tabia zako za kibaguzi kupata mme unayefikiri anakufaa na ni wa maana wakati wewe siyo wa maana.
i.e i. Awe mkristo lakini siyo msabatho
ii. Wasabatho wana masharti magumu
iii. Wasabatho wana tabia za kukera.
Tusiende kwa dhana ya kusikia tu bali tushuhudie wenyewe pia ....Nasikia jamaa ni wabishi balaa....anyway, ngoja nae aseme ni kwann hawataki Wa7to
Huo ni mtazamo hasi ulonao juu ya hao unaowashutumu pia .... nmetoa ufafanuzi hapo juu kwenye komenti yangu moja .... ukiona una nafasi pitia uichekiNaunga mkono. jamaa watata sana. Hata ukiongea nao ni kama wanawasiliana kwanza na 'mungu' wao.
kwa lugha yenu ndio mnasemaga, for the rest of my life, sio?haya pm haraka!!Ha ha ha
kwani wee utaishi milele?? mpaka uwe na mashaka na muda wa kuishi.
Nimemaanisha wa kufa nae.
Kuna vipimo vya kufahamu HIV
Mbona unaitaji vigezo vingi hooo! awe amesoma mpaka chuo mchagua nazi utapata kolomaSalama wakuu wa love connect.
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.
Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.
Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.
Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.
Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
you seem........! sorry if i have disgusted you in any wayYou seems to be a very nice lady good luck and all the best on your search.
Atakuwa alijisahau labda wakati anaandika.you seem........! sorry if i have disgusted you in any way
You are lost, totallySalama wakuu wa love connect.