Natafuta mume tuoane

Natafuta mume tuoane

Ni ngumu sana kwa tabia zako za kibaguzi kupata mme unayefikiri anakufaa na ni wa maana wakati wewe siyo wa maana.
i.e i. Awe mkristo lakini siyo msabatho
ii. Wasabatho wana masharti magumu
iii. Wasabatho wana tabia za kukera.
 
Salama wakuu wa love connect.

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.

Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.

Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.

Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.

Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
Kama upon tayari uwe mke wa pili njoo inbox tuyajenge ila umri nna 34 muislam safi.
 
Ni ngumu sana kwa tabia zako za kibaguzi kupata mme unayefikiri anakufaa na ni wa maana wakati wewe siyo wa maana.
i.e i. Awe mkristo lakini siyo msabatho
ii. Wasabatho wana masharti magumu
iii. Wasabatho wana tabia za kukera.
Naunga mkono. jamaa watata sana. Hata ukiongea nao ni kama wanawasiliana kwanza na 'mungu' wao.
 
Ni ngumu sana kwa tabia zako za kibaguzi kupata mme unayefikiri anakufaa na ni wa maana wakati wewe siyo wa maana.
i.e i. Awe mkristo lakini siyo msabatho
ii. Wasabatho wana masharti magumu
iii. Wasabatho wana tabia za kukera.
Yuko sahihi. Usiusemee moyo wake.
 
Nasikia jamaa ni wabishi balaa....anyway, ngoja nae aseme ni kwann hawataki Wa7to
Tusiende kwa dhana ya kusikia tu bali tushuhudie wenyewe pia ....
Mambo ya samaki mmoja akioza wameoza wote tunakuwa hatuwatendei haki wengine walobaki ....

Mie ni msabato ninajielewa, ninajiheshimu na kamwe sina hiyo hulka alosema huyo auntie ama ulosikia wewe juu ya wasabato ..... tabia ya mtu mmoja ktk jamii fulani isichukue taswira ya watu wote ktk jamii hiyo THAT ISN'T FAIR AT ALL ......

By the way sio kusudio langu kumbembeleza ili aondoe hicho kigezo juu ya wasabato .... lakini ni vyema aanze kutafakari juu ya kuubadiri mtazamo wake ....... I'm happier and blessed too and I'm also proud to be an Adventist
 
Ha ha ha

kwani wee utaishi milele?? mpaka uwe na mashaka na muda wa kuishi.

Nimemaanisha wa kufa nae.

Kuna vipimo vya kufahamu HIV
kwa lugha yenu ndio mnasemaga, for the rest of my life, sio?haya pm haraka!!
 
Salama wakuu wa love connect.

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.

Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.

Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.

Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.

Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
Mbona unaitaji vigezo vingi hooo! awe amesoma mpaka chuo mchagua nazi utapata koloma
 
Naona mchumba wako ni mimi kwani sifa unazohitaji ninazo zote sifa zaidi pacha wangu kaniachia watoto watano njoo tusaidiane kulea tuwasiliane kwenye fb
 
Salama wakuu wa love connect.

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.

Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.

Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.

Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.

Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
You are lost, totally
 
Back
Top Bottom